Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000 [1], ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012[2]. Umepakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya na Iringa.
Mkoa wa Njombe ulianzishwa lini?
Ground Truth Answers: 2012mwaka 20122012
Prediction: